Kim

Zuchu - Peace And Money

Komasava Remix

MAPOZ YOUTUBE

ACHII

X

TikTok

Threads

Katika kusheherekea Sweetie kuhitimu Masters ya Leadership & Management nliamua kumzawadia kidogo nlichojaaliwa ambacho ni gari aina ya Toyota Verifire.β€οΈπ
Ni nadra sana kwa mwanamke kufanya kazi kwa bidii, kusimamia familia, na bado kufanikisha ndoto kubwa kama ulivyofanya. Kupata Masters ni hatua ya kipekee, na zawadi hii ni ushahidi wa jinsi unavyonipa sababu ya kujivunia kila siku.
Sweetie, naomba upokee hiki kidogo kutoka kwangu na naomba ufahamu kuwa nlitamani nkupe kikubwa zaidi ya hiki kama ishara ya shukrani kwa kuwa mke bora na fahari yangu.
Mwenyezi Mungu aendelee kuubariki muunganiko wetu mpaka kiama!
Nakupenda sana Sweetie β€οΈπ
Haya Tukutane Shell π

Siku ya leo, miaka mitano nyuma tuliamua kufanya jambo kubwa sana katika maisha yetu. Hakika hii ni miaka bora kabisa kwenye maisha yetu.
Tunamuomba Allah atujaalie kila siku tuendelee kuwa na upendo, furaha, amani, kusikilizana na afya njema!
Atujaalie siku kama ya leo iwe mwanzo wa miaka mingi zaidi hadi peponi na kwa neema na rehma zake atujaalie watoto wenye kheri na sisi.
Tunafahamu wengi wenu mnavutiwa sana na ndoa yetu hivyo msisite kutuombea tuendelee kuwa mfano hai wa mapenzi ya kweli!
Happy Five Years Anniversary to Us! β€οΈπ©π½ββ€οΈβπβπ¨π»

Tazama Mpaka Mwisho Jinsi Tulivyowachukua Wahudumu Wetu Na Kuwafikisha Sehemu Ilipo Shummy taste
Na Sasa Wapo Tayari Kuwahudumia.. Karibuni Saaaana #Shummytaste #UtamuKamaWote
#reels #reelsviral #fyp

Well, the past two weeks kulikuwa na mambo mengi sana ikiwemo yenye furaha na huzuni mpaka nkasahau kushare nanyi hiki kidogo nlichomzawadia Sweetie @shamiramshangama
Katika kusheherekea Sweetie kuhitimu Masters ya Leadership & Management nliamua kumzawadia kidogo nlichojaaliwa ambacho ni gari aina ya Toyota Verifire.β€οΈπ
Ni nadra sana kwa mwanamke kufanya kazi kwa bidii, kusimamia familia, na bado kufanikisha ndoto kubwa kama ulivyofanya. Kupata Masters ni hatua ya kipekee, na zawadi hii ni ushahidi wa jinsi unavyonipa sababu ya kujivunia kila siku.
Sweetie, naomba upokee hiki kidogo kutoka kwangu na naomba ufahamu kuwa nlitamani nkupe kikubwa zaidi ya hiki kama ishara ya shukrani kwa kuwa mke bora na fahari yangu.
Mwenyezi Mungu aendelee kuubariki muunganiko wetu mpaka kiama!
Nakupenda sana Sweetie β€οΈπ
Haya Tukutane Shell π
6 months ago

This Love β€οΈβ€οΈ
Siku ya leo, miaka mitano nyuma tuliamua kufanya jambo kubwa sana katika maisha yetu. Hakika hii ni miaka bora kabisa kwenye maisha yetu.
Tunamuomba Allah atujaalie kila siku tuendelee kuwa na upendo, furaha, amani, kusikilizana na afya njema!
Atujaalie siku kama ya leo iwe mwanzo wa miaka mingi zaidi hadi peponi na kwa neema na rehma zake atujaalie watoto wenye kheri na sisi.
Tunafahamu wengi wenu mnavutiwa sana na ndoa yetu hivyo msisite kutuombea tuendelee kuwa mfano hai wa mapenzi ya kweli!
Happy Five Years Anniversary to Us! β€οΈπ©π½ββ€οΈβπβπ¨π»
6 months ago

WATCH TILL END π«Ά