

Mika
@simbamika21
Pengine unashidwa kufanikiwa katika mambo mengi unayofanya kwa sababu Mungu hafanyi makao ndani yako, hatuna urafiki na Mungu, na ii inatokana kutoshika neno lake. Yesu anatupenda sana na kila mara anatuambia cha kufanya ili aweze kukaa nasi “Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.” Yohana 14:23
Privacy Policy | Terms |



